Sunday, April 9, 2017

MAREKANI YAPELEKA MELI NA NDEGE ZA KIVITA RAS YA KOREA

Meli ya Carl Vinson kwa sasa inaelekea rasi ya KoreaMeli ya Carl Vinson (katikati) ikisindikizwa na meli zingineMeli ya Carl Vinson hubeba ndege aina ya F/A-18F Super HornetsJeshi la Marekani limetoa amri kwa meli zake za kivita zinazobeba silaha zielekee karibu na rasi ya Korea, huku kukiwa na hofu kubwa kuhusiana na Korea Kaskazini kuimarisha silaha zake za kinukilia.
Msimamizi wa kijeshi wa Marekani wa eneo la Pacific alieleza kuwa kujiandaa huko kijeshi ni muhimu katika eneo hilo.
BBC

No comments:

Post a Comment