

Mamlaka ya jeshi la Colombia inasema
idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia
watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400.Vikosi vya wafanyikazi wanaoendesha shughuli za uokoaji wanasema nyingi ya barabara za kulipotekea maporomoko hayo huko eneo la mji wa kusini mwa taifa hilo, Mocoa hazipitiki kutokana na mkasa huo.
BBC
No comments:
Post a Comment