Monday, April 24, 2017

NAWAANGAMIZA WADUDU WAHARIBIFU WA KOROSHO


Mkulima wa korosho na michungwa shamba la Ngomeni Muheza Tanga, Zaidu Ramadhani akimwagilia dawa ya kuulia wadudu katika shamba lak, Mkulima huyo amedai kuwa huwa wanafuata pembejeo Dar es Salaam hivyo kuiomba Serikali kusogeza karibu huduma hiyo ikiwa na pamoja na bei.





No comments:

Post a Comment