Thursday, April 27, 2017

KISIWA CHA FAROE NA UPUNGUFU WA WANAWAKE

Kisiwa cha Faroe chenye upungufu wa wanawakeKuna upungufu wa wanawake katika kisiwa cha Faroe.
Hivyo basi wanaume katika kisiwa hicho wanatafuta wanawake kutoka maeneo mengine kama vile mataifa ya Thailand na Ufilipino.
Lakini je ni changamoto gani zinazowakumba wanawake wanaoelekea katika kisiwa hicho.
Wakati Athaya Slaetalid alipoelekea katika kisiwa hicho ambapo kipindi cha majira ya baradi huchukua muda wa miezi sita alikuwa akikaa karibu na kikanza ama heater kwa jina la Kiingereza kwa siku nzima.
BBC

No comments:

Post a Comment