Saturday, April 8, 2017

WAJASIRIAMALI WA KAZI ZA MIKONO WALIA NA BIDHAA ZA CHINA



Fundi wa kutengeneza vibatari, Idd Yussuf, barabara ya 12 Ngamiani Tanga, akimalizia kutengeneza kibatari chake, mafundi wengi akiwemo Yussuf wanalalamika soko lao kuanguka kwa sababu ya wingi wa bidhaa za kutoka China.
Baadhi ya wajasiriamali wengi wa kazi za mikono wamekuwa wakilalamika kukosa soko kutokana na wingi wa bidhaa za China ambazo wamedai kuwa zimezagaa kila kona. 
Hii inatokana na bidhaa zao kukosa soko na kudai kuwa mbali ya ubora lakini wamekuwa wakizidiwa soko la bidhaa hizo za China






No comments:

Post a Comment