Tuesday, April 4, 2017

TAASISI YA KIISLAMU YA AKHLAQ UL USLAM YACHANGIA DAMU HOSPITALI BOMBO TANGA



Daktari akimtoa damu mwanafunzi wa chuo cha Shamsi Maarifa, Issa Yussuf, wakati wa zoezi la uchangiaji wa damu salama lililoendeshwa na Taasisi ya Akhlaq Ul – Islam ya jijini Tanga jana.


 Daktari hospitali ya Bombo Tanga kitengo cha maabara, Hashim Ali, akimtoa damu mwanafunzi wa chuo cha Shamsi Maarifa, Salim Dhahabu wakati wa uchangiaji wa damu salama kwa hiari zoezi lililoendeshwa na taasisi ya Akhlaq Ul – Islam ya jijini Tanga jana.


 Daktari hospitali ya Bombo Tanga, Dr, Oliva Paulo, kitengo cha maabara hospitali ya Bombo Tanga, akimtoa damu mwanafunzi chuo cha Imamu Shafii, wakati wa uchangiaji wa damu salama kwa hiari zoezi lililoendeshwa na taasisi ya Akhlaq Ul – Uslam ya jijini Tanga jana

No comments:

Post a Comment