Tottenham imefanikiwa kushinda mechi
7 mfululizo za ligi ya Uingereza na kuendelea kuwakaribia viongozi wa
ligi hiyo Chelsea baada ya kupata ushindi mzuri dhidi ya Bournemouth.Bao hilo linamfanya mshambuliaji huyo wa miaka 23 kuwa mchezaji wa nne kufunga mabao 20 katika msimu mitatu ya Uingereza baada ya Alan Shearer, Ruud van Nistelrooy na Thiery Henry.
Vincent Janssen baadaye alifunga udhia baada ya kufunga bao lake la pili katika ligi ya Uingereza katika muda wa ziada ,dakika moja moja tu baada ya kuingia kama mchezaji wa ziada.
No comments:
Post a Comment