Sunday, April 30, 2017

MICHE YA MIKOROSHO MKANYAGENI MUHEZA TANGA



Mkulima wa zao la korosho shamba la Mkanyageni Wilayani Muheza Mkoani Tanga, Kurwa Joseph, akiichukua miche katika kitalu chake na kwenda kuipanda . Wakulima hao huuza korosho kwa bodi ya korosho Tanzania kwa shilingi 1,800 kwa kilo.
Imeelezwa kuwa Tanga zao la korosho linaweza kuwakomboa wakulima badala ya kung'ang'ania kilimo kimoja ambacho ni cha msimu.





No comments:

Post a Comment