Liverpool iliongezea matumaini ya
kuendelea kusalia katika kundi la timu nne bora baada ya kuwatandika
Everton mabao 3-1 katika Champions League.Bao la pili lilifungwa na Philipe Coutinho baada ya kuwabwaga wachezaji wawili wa Everton.
Matokeo hayo yanaipa Liverpool uongozi wa pointi 7 mbele ya Manchester United, ambao wana mechi tatu za kucheza, ikiwemo ya nyumbani dhidi ya West Brom siku ya Jumapili.
No comments:
Post a Comment