Saturday, December 27, 2014

BIASHARA , USAFI

  Wachuuzi wa samaki wakazi wa Kange Kasera , Said Mbelwa na Rashid Hamdan  wakiwaosha pweza na ngisi katika pwani ya Deep Sea Tanga na kuwauzia wateja mtaani kwao, vijana hao wameanzisha mradi wa kuuza samaki kwa kuwahifadhi katika Friji.





No comments:

Post a Comment