Tuesday, December 30, 2014

SITEGEMEI MUZIKI, NIKO NA BIASHARA BAB KUBWA----,LADY GAGA

Muziki haukumlipa Lady Gaga 2014, mwaka 2015 ana biashara anayoanza nayo

Muziki haukumlipa Lady Gaga 2014, mwaka 2015 ana biashara anayoanza nayo

Poker-Face-lady-gaga-9868236-549-412Waswahili wanasema ukiona umeanza mwaka kwa mambo mazuri ujue mwaka huo wote utakuwa mzuri kwako, Lady Gaga hakuingiza pesa nyingi kihivyo kwa mwaka 2014, muziki haukumlipa sana hivyo hii deal mpya huenda ikamuongezea kipato 2015.
Lady Gaga amepata deal la kutangaza bidhaa mbalimbali za kampuni ya Shiseido inayouza bidhaa za urembo pamoja na bidhaa zinazotumika saluni, amepiga picha kadhaa ambazo zitaanza kutangazwa kwenye magazine ya Kampuni hiyo mwaka 2015, Gaga hakusubiri mwaka uanze, ameanza kushare kama picha hamsini hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram (@ladygaga)
Picha hizo zitatumika pia katika Magazeti mbalimbali mwaka 2015 kwa ajili ya kutangaza bidhaa za kampuni hiyo, hapa kuna baadhi ya picha hizo lakini ukitaka kuzitazama nyingine zipo kwenye ukurasa wake wa Instagram (@ladygaga)
Poker-Face-lady-gaga-9868238-549-412Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment