Wednesday, December 31, 2014

DULLY SEX ATOA SHUKURANI


Kama ulipitwa na 255 leo December 31, nimeirekodi na kukuwekea hapa. Unaweza kuisikiliza

Kama ulipitwa na 255 leo December 31, nimeirekodi na kukuwekea hapa. Unaweza kuisikiliza

headphones-keyboard-computer-960x540
Msanii Dully Sykes amewashukuru wasanii wenzake waliojitokeza kumsupport kwenye show yake iliyofanyika jana Escape 1 Dar ambapo alikuwa akisherehekea miaka yake 15 kwenye muziki.
Dully amewataja baadhi ya wasanii kama Bushoke, Makomandoo, Queen Dareen, Ali Kiba na Diamond ambaye japo  hakufika kutokana na kuwepo nje ya nchi akifanya show, lakini wasanii hao kwa pamoja wamemsaidia kufanikisha show hiyo.
kasikitishwa pia na baadhi ya wale ambao alitarajia watakuwepo na hawakutokea huku yeye akiwa ni mtu ambaye katoa mchango wake sana katika mafanikio yao.
Baada ya kuachiwa video ya mwana ya Ali Kiba watu walikuwa na maoni tofauti kwamba kile ambacho walikitarajia kwenye video hiyo kuwa tofauti na ilivyotokea, Kiba amesema kuwa hivyo ambavyo alitaka video hiyo itokee na utofauti wake ndio uzuri wake, isingewezekana kila kitu kilichozungumziwa kiwepo katika video ya wimbo huo.
Staa Nick Minaj amesema kuwa aliwahi kutoa ujauzito akiwa na miaka 16, hajutii kitendo hicho kwa kuwa hakuwa na uwezo kumlean mtoto wake huyo, japo wakati akifanya kitendo hicho alihisi kama anafariki.

No comments:

Post a Comment