Monday, December 29, 2014

WATALIKIANA ILA HESHIMA IPO KWA KULINDA WATOTO

Wakati wengine wakisherehekea kupata watoto…hali si shwari kwenye ndoa ya mchekeshaji maarufu Chris Rock

Wakati wengine wakisherehekea kupata watoto…hali si shwari kwenye ndoa ya mchekeshaji maarufu Chris Rock

FILE: Comedian Chris Rock Has Filed For Divorce From Malaak Compton-RockMchekeshaji maarufu nchini Marekani Chris Rock ameamua kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi Malaak Campton baada ya kudumu nae kwenye ndoa kwa miaka 19.
Katika maelezo yaliyotolewa na mkewe Malaak alisema “baada ya mgongano mrefu na kudumu kwa miaka 19 katika ndoa yetu,Chris na mimi tumeamua kutengana na kila mmoja kufanya mambo yake”.
rokMwanasheria wa mchekeshaji huyo Robert S.Cohen alithibitisha kupokea barua ya talaka toka kwa Kris kwenda kwa mkewe Malaak na kusema haya ni mambo binafsi na wahusika wameamua kuyafanya kwa usiri ili kulinda heshima ya watoto wao,”alisema Mwanasheria huyo katika moja ya jarida la nchini humo.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment