Wednesday, December 31, 2014

KINARA WA KUINGIZA MADAWA YA KULEVYA ATWANGWA RISASI NA KUFA


 Kuhusu huyu aliyeuwawa kwa risasi Mahakamani Dar es salaam leo.

Kuhusu huyu aliyeuwawa kwa risasi Mahakamani Dar es salaam leo.

Kisutu 4Saa kadhaa zilizopita Polisi walimfyatulia risasi mtuhumiwa aliejaribu kutoroka baada ya kufikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu Dar es salaam leo December 31 2014.
Muda mfupi baadae Polisi ikatoa taarifa kwamba mtuhumiwa wa dawa za kulevya aliyeuwawa ni Abdul Koroma raia wa Sierra Leone na aliuwawa kwa risasi wakati akitoroka Mahakamani.
Kisutu 5
kisutu 3
Kisutu 1
kisutu 2

No comments:

Post a Comment