Monday, December 29, 2014

SUPA STAA ALICIA KEYS AFURAHIA KUPATA MTOTO CHRISMASS

Hii ni furaha nyingine kwa familia ya mwanamuziki Alicia keys na Swizz Beatz…


Hii ni furaha nyingine kwa familia ya mwanamuziki Alicia keys na Swizz Beatz…
ALICIA
Safari hii ni zamu ya familia ya mastaa wawili wa Marekani, Alicia keys na mume wake ambaye ni producer mkali, Swizz Beatz kupata mtoto usiku wa Dec 27 na kuifanya siku hiyo kuwa ya furaha kwa kuongeza mwanafamilia.
Mtoto wa mastaa hao ni wa kiume aliyepewa jina la Genesis Ali Dean, huyu ni wa pili wa kwanza ni Egypt Daoud, waliompata miaka minne iliyopita.
Alicia alielezea furaha yake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare kadi yenye iliyoonyesha  kuzaliwa mtoto wake na kuandika. “The joy of joy is joy!! It’s a boy… We are so grateful!! #blessings!!”– @aliciakeys
ali k
Alicia-Keys-BabyHautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment