Saturday, December 27, 2014

WEMA ,ANTI EZEKILE WAWA GUMZO MITANDAONI

WEMA, AUNT EZEKIEL NA RAFIKI YAO NICE WAWA GUMZO INSTAGRAM!

Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada. 

Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.

No comments:

Post a Comment