Friday, December 26, 2014

MAN MWENDO MDUNDO

Rekodi mpya ya Man United na matokeo yao dhidi ya Newcastle haya hapa


EPL: Rekodi mpya ya Man United na matokeo yao dhidi ya Newcastle haya hapa

IMG_0473.JPG
Baada ya kushinda mechi 6 mfululizo kisha kusimamishwa kwa sare ya 1-1 wiki iliyopita dhidi ya Aston Villa, klabu ya Mancheste United leo iliwakaribisha Newcastle United katika dimba lao la Old Trafford.
Mchezo huo uliomalizika hivi punde ndani ya jiji la Manchester umeisha kwa kwa vijana wa Louis van Gaal kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza kwenye historia ya ligi ya England kushinda mechi 50 katika ‘boxing day’.
Magoli mawili ya nahodha Wayne Rooney na moja la Robin Van Persie yalitosha kuipa United ushindi huo wa kihistoria.
Matokeo mengine kwenye ligi hiyo yalikuwa kama ifuatavyo
IMG_0471.JPG

No comments:

Post a Comment