Saturday, December 27, 2014

CHRIS BROWN NA KARRUECHE WAWEKA TOFAUTI ZAO KANDO, WAVINJARI MITAANI NA MBWA

Chris Brown na Karrueche Christmas kwao ilikuwa hivi…


Movie inaendelea… Chris Brown na Karrueche Christmas kwao ilikuwa hivi…

Chris & CheMovie bado inaendelea baada ya  ile couple isiyoishiwa visa na vituko kati ya mwimbaji Chris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran, kuibuka na headline nyingine mpya siku ya Christmas.
Chris Brown ameonekana akiwa na Karrueche wake wakispend pamoja usiku wa Alhamisi kuamkia Ijumaa ndani ya Playhouse Club, Los Angeles halafu mchana wa Ijumaa wakakutwa tena mtaani wakiwa matembezi na mbwa wao, kwa amani kabisa.
Karrueche, alipost picha ikionyesha vidole vyake vikiwa na pete za almasi siku ya Christmas, wanaudaku wa Marekani wanasema zilitoka kwa Chris kama zawadi ya sikukuu, huku wengine wakisema pete mojawapo ni ya uchumba.karruecehe-tran-diamond-ring-from-chris-brown-leadNakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment