Monday, December 29, 2014

KALA KUACHIA MPYA JANUARY

RAPA KALA PINA KUACHIA NYIMBO JANUARY AKIMSHIRIKISHA OMMY DIMPOZ

headphones460
Rapper Kala Pina amesema ujio wa nyimbo yake mpya atakayoiachia tarehe 16 Januari ambayo amemshirikisha Ommy Dimpoz iko katika ubora wa Kimataifa, kwa sasa Watanzania watarajie matunda mazuri kutokana na wimbo huo.
Wasanii Vanessa Mdee na Diamond Platnumz wamefanikiwa kuiweka T’zania kwenye kilele cha headlines za kimataifa baada ya kushinda tuzo nyingine za AFRIMA, Diamond ameshinda kama msanii bora wa kiume Afrika Mashariki na Vee Money Msanii Bora wa kike.
Vee amesema amefurahi kwa ushindi huo, hakuwa anatarajia kushinda tuzo hiyo lakini kwa support ya Watanzania amefanikiwa kushinda, kufika kwake Nigeria kumefanya apate network kubwa kwa kukutana na wasanii mbalimbali wakubwa, wamempokea vizuri sana kitu ambacho hakutegemea pia.
Kundi la Weusi wameachia leo wimbo wa Remix ya Gere ambao mastaa wakali East Africa kama akina Navio, Nazizi, Collo na Rabbit wameshirikishwa

No comments:

Post a Comment