Monday, December 29, 2014

WANIGER WANAKUALIKA HII KATIKA REMIX

Mabibi na Mabwana Weusi wanakualika kuisikiliza hii remix ya single yao

Mabibi na Mabwana Weusi wanakualika kuisikiliza hii remix ya single yao

.
.
Weusi kutokea Arusha wamekuja na remix ya single yao Gere ambapo time hii wamewakusanya wasanii tofauti wa Afrika Mashariki akiwemo Rapper Navio wa Uganda, Collo wa Kenya, Naaziz, Rabbit wa Kenya.
Ukishaisikiliza hapa  usiache kuniandikia lako la moyoni ili Weusi wakipita hapa pamoja na wasanii wengine waone watu wao mnasema nini kuhusu hiyo audio.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment