Sunday, December 28, 2014

MSIMU WA MAEMBE MOMBASA, WAFANYABIASHARA TANGA WACHANGAMKIA

  Wakazi wa Masiwani soko la Chuma Tanga wakichagua maembe ainaya Eple kutoka Mombasa ambayo pia wafanyabiashara hupeleka Mikoani kutafuta masoko baada ya uchache wa wateja  Tanga.




No comments:

Post a Comment