Friday, December 26, 2014

DUNIA IMEKWISHA,STARA AIBU IMEPOTEA

BALAA LA KRISMASI...NI AIBU KWA MREMBO HUYU!


Mwanamke(Jenipher ) ayeanayedaiwa kujiuza akiwa hoi hajitambui.MSICHANA mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Jenipher, anayedaiwa kujiuza katika maeneo ya Shivaz na Kaloleni , amekutwa akiwa amepoteza fahamu kando ya barabara, katika harakati za kujipatia chochote kipindi hiki cha sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. 

Akiwa pembeni ya barabara, Jenipher anayeelezwa kuwa maarufu na  anadaiwa kuwa siku hiyo alizidisha idadi ya wanaume aliotoka nao, kwa ajili ya kujipatia kipato cha kutosha ili aweze kuburudika vizuri wakati wa sikukuu ya Krismasi.Baadhi ya mashuhuda wanaomfahamu msichana huyo walisema kwamba katika kipindi cha wiki nzima iliyopita, alikuwa akisaka wanaume kwa bidii na kwamba alikuwa tayari kwa ajili ya kutoa huduma hiyo mahali popote.

No comments:

Post a Comment