Monday, December 29, 2014

KAKAKUONA AONEKANA TANGA NA DAR


KAKAKUONA AONEKANA MAENEO YA TANGA NA DAR 

Huyu ndiye Kakakuona aliyeonekana asuhuhi ya leo maeneo ya Mikanjuni Tanga na kudaiwa pia kuonekana  Kigamboni,jijini Dar, 
alikunywa maji mengi sana kufuatia mvua iliyonyesha Muheza ,akafuata unga na pesa,aliepuka panga na kisu. 
Watabiri wa mambo wanasema tutarajie mema mwakani na makali ya maisha yatapungua huku kitisho cha balaa la njaa kuwa hadithi.

No comments:

Post a Comment