Tuesday, July 7, 2015

RAMADHANI QAREEEM

 Mfanyabiashara wa kofia, nje ya Msikiti wa Ibadhi Tanga, Hassan Othman, akipanga kofia kusubiri wateja . Kofia moja ya kufuma kwa mkono huuzwa 18,000 na kofia ya kushona kwa charahani huuzwa kwa shilingi 3,000 hadi 5,000.



 Wafanyabiashara wa kanzu na kofia nje ya Msikiti wa Ibadhi Tanga, wakiwauzia wateja kama walivyokutwa jana. Kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani waumini wengi wamekuwa wakitumia mavazi hayo ikiwa ni mafundisho ya mtume wao.



No comments:

Post a Comment