Ubelgiji wanashindwa kutamka jina la Samatta, kutana na list ya majina 7 ya wanasoka magumu kuyatamka
Kama ambavyo wazungu wanapata tabu kutamka baadhi ya majina ya kibantu mfano jina la mwisho la mshambuliaji wa Tanzania anayecheza soka KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Ally Samatta na kuamua kutumia jina la Ally, ndivyo ambavyo watu kutoka nchi za bara la Afrika watakapopata tabu kutamka majina ya wanasoka hawa saba.
7- Anatoliy Tymoshchuk anacheza FC Kairat ya Kazakhstan
6- Šime Vrsaljko anachezea klabu ya Sassuolo
5- Kevin Großkreutz anacheza klabu ya VfB Stuttgart
4- Wojciech Szczęsny anacheza klabu ya AS Roma kwa mkopo akitokea Arsenal
3- Kolbeinn Sigþórsson anacheza klabu ya Nantes
2- Sokratis Papastathopoulos anachezea klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani
1- Jakub Błaszczykowski anachezea klabu ya Borussia Dortmund
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment