Umeipata hii ya Bomu kulipuka Gerezani?
Zimekuwa zikisikika taarifa kwamba kumekuwa na milipuko mingi Nigeria kutokana na mashambulizi yanayofanywa mara kwa mara na vikosi mbalimbali vya wapiganaji.
Taarifa zilizoripotiwa kutoka nchini
humo zinasema kumetokea mlipuko ndani ya gereza moja katika Jimbo
la Ekiti ambapo baada ya mlipuko huo wafungwa walitoka ndani ya gereza
na kuanza kukimbia hovyo japo Askari waliweza kuwakamata wachache.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Kumekucha blog
No comments:
Post a Comment