255 ya leo December 23 iko hapa, unaweza kuingia hapa kucheki info zote za leo

Msanii Linex
amesema kabla hajaanza kuimba alikuwa akifanya Hiphop na wasanii wa
kundi la Mapacha walimshauri abadili style hiyo na kuanza kuimba miaka
ya 2010- 2011 kitu ambacho kilimuinua zaidi kuliko alivyokuwa akirap.
Linex amesema muda wowote kuanzia sasa anaweza kufanya wimbo wa kurap ili kuonyesha kiwango chake upande huo.
Moja ya mastaa waliomaliza 2014 kwa kuwa kwenye headline nzuri ni Idris Sultan, ambaye aliibuka na ushindi wa fungu la dola 300 kutoka BBAHotshots
Afrika Kusini, mpya ni kwamba siku ya jana December 22 alipokea simu ya
kualikwa Ikulu ambapo meneja wake amethibithisha kuhusu kupokea mwaliko
huo.
Rapper Lil Wayne amekaa kwenye headlines nyingi zinazohusu mgogoro wake na kundi la YMCMB,
leo kuna story inayohusu jamaa huyo kujichora tatoo ya alama ya jicho
iliyo kwenye noti ya dola kwenye kidevu, pia kachora nyingine juu ya
jicho yenye maandishi ya kiarabu inayosomeka ‘mama’s boy’.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment