
Kushoto
ni naibu rais wa Kenya, William Ruto, akiwa na rais wa nchi hiyo, Uhuru
Kenyatta ambaye kesi yake imefutwa kwenye mahakama ya ICC
Na Martha Saranga Amini
Raisi wa
Kenya Uhuru Kenyatta amesema alitarajia kuona ICC ikishindwa kesi dhidi
yake kufuatia kuwepo kwa mapungufu ya wazi na hivyo hashangazwi na
kilichotokea.
Uamuzi
huu umekuja saa chache tu baada ya uamuzi wa majaji waliokuwa
wanasikiliza kesi ya rais Kenyatta, juma hili kumpa muda wa wiki moja
mwendesha mashtaka mkuu, Fatou Bensouda kuamua hatma ya kesi dhidi ya
rais Kenyatta.(P.T).
Usipitwe na habari kemekm za paopo hapo fungua Kumekucha blog kila wakati
No comments:
Post a Comment