Pale ambapo wazazi wanaingia kwenye hatia baada ya kuwateka watoto wao….

Wazazi hao wameshtakiwa katika mahakama ya nchini humo kwenda jela kwa kosa hilo na mara baada ya kumaliza hukumu hiyo hawataruhusiwa kuwaona watoto hao.
Akitangaza hukumu hiyo Mwendesha mashtaka alisema mwanaume huyo kwa jina la Alex amehukumiwa jela miaka 11 huku mkewe Rose Chairez akihukumiwa miaka mitano na hawakutakiwa kujitetea.

Watoto hao walipatikana na kurejeshwa Los Angeles na kwa sasa watakua chini ya kituo cha kulelea watoto .
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment