Haijathibitika kama ana hatia, lakini watu wameanza kumhukumu Bill Cosby…

Kumekuwa na tuhuma ambazo zinamtuhumu Bill Cosby kwamba aliwmdharirisha mwanamke mmmoja Judy Huth, ambaye amedai alidharirishwa na mchekeshaji Mzee Bill Cosby wakati akiwa na umri wa miaka 15.
Tuhuma hizi zinafanya mzee huyo kuwa na
jumla ya tuhuma 20 ambazo zinafanana juu yake, lakini kuna watu ambao
wameonekana kumshutumu mzee Cosby kwamba ni kweli amehusika na tuhuma
hizo.
Taarifa kutoka Holywood zinasema ndani
ya Jumba ambapo zimehifadhiwa taarifa za mastaa mbalimbali wakubwa
Duniani pamoja na zile nyota za heshima za mastaa hao za Hollywood Walk of Fame, nyota ya Bill Cosby imechafuliwa kwa kuandikwa maneno ‘Rapist‘ ambayo yanamtuhumu kuwa ubakaji.



Unahitaji kutopitwa na story yoyote inayonifikia mtu wangu? Ni rahisi sana, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog
No comments:
Post a Comment