NGUMI ULINGONI
Mabondia
Siwatu Elieta kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Zulfa
Macho wakati wa fainali za mchezo wa masumbwi Macho alishinda kwa point
mpambano huo
Mabondia
latifa Halidi kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana
umwanmba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi
yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment