Saturday, December 6, 2014

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe



UZINDUZI WA KAMPENI YA KUPINGA VITENDI VYA UDHALILISHAJI WA WANAWAKE NA WATOTO.


unnamed Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wananchi wakati alipofika katika viwanja vya Bwawani Hotel Mjini Unguja kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto uliofanyika leo.[Picha na Ikulu.] 
unnamed1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono kama ishara ya kupokea maandamano   wakati  Vijana wa Wilaya ya kati Unguja wakipita mbele yake  leo katika viwanja vya Bwawani HoteliMjini Unguja  alipofika kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto.[Picha na Ikulu.]
unnamed3 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka wa  Ofisa Maria Obel (kushoto) alipotembelea banda la maonesho la Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto leo.[Picha na Ikulu.] unnamed4Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake na Ustawi wa Jamii Baraza la Wawakilishi Bi Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa maonesho ya kazi mbali mbali wakati uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto uliofanyika leo katika viwanja vya Bwawani Hoteli Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.] unnamed6 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Filbeto Ceriani Sebregondi  Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (katikati) wakati alipokuwa akitembelea maonesho mbali mbaki katika uzinduzi wa uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto zilizofanyika leo Viwanja vyaHoteli ya  Bwawani (kulia) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed, [Picha na Ikulu.] unnamed7Baadhi ya   Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakifuatilia kwa makini hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo  katika ukumbi wa Salama  Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja  ,[Picha na Ikulu.] unnamed8Baadhi ya   Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakifuatilia kwa makini hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo  katika ukumbi wa Salama  Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja  ,[Picha na Ikulu.] unnamed9 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizindua rasmi Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto kwa kuponyeza Kompyuta katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo baada ya kutoa hutuba yake kwa Wananchi(kulia kwake) mtaalam Lukman M.Bachu,[Picha na Ikulu. 

No comments:

Post a Comment