Sunday, July 5, 2015

BABA AFANYA UNYAMA KWA MTOTO WAKE KISA, KALA NYAMA

Alimkata mwanaye vidole vya mikono kisa kaiba nyama… Polisi hawakumuacha


nyama
Matukio ya wazazi kunyanyasa watoto tena hata wa kuwazaa wenyewe bado yameendelea kutokea kila wakati sehemu mbalimbali duniani.
Huko Nigeria kuna stori inamuhusu baba mmoja kaamu kukata vidole vya mwanae wa kumzaa kisa tu kauiba nyama bila kumwomba mama yake ruhusa ya kuchukua.
Hata hivyo polisi hawakumuachia Surulere Rafael kwa kumfungulia mashtaka na alipoulizwa sababu ya kumkata mwanaye huyo alisema alimwibia fedha kiasi cha zaidi ya 10,000 za Kitanzania pia aliiba mboga  bila kuomba na kuamua kumpa adhabu hiyo.
Kwa sasa mtoto huyo amelezwa hospitali huku akiendelea kupatiwa matibabu wakati baba yake akiendelea kushikiliwa na polisi.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment