Kutana na visiwa vingine 10 vyenye mvuto zaidi duniani. >>> Pichaz!
Kuna visiwa vingi sana duniani vizuri na venye mvuto vinavyo ungana na bahari, na kwa baadhi za sehemu dunia kama Finland hufahamika kuwa na visiwa visivyopungua 180,000.
Lakini hapa chini nimekusogezea picha za
visiwa 10 venye mvuto zaidi duniani. Visiwa hivi vimetajwa kuwa visiwa
kumi bora venye mvuto zaidi duniani kutokana na orodha iliyotolewa na World’s Best Islands List.
Kisiwa hiki kinaitwa Galapages Islands (Ecuador) ni miongoni mwa visiwa vinavyopendwa zaidi na watalii duniani.
Kisiwahiki kinaitwa Malta na ni kisiwa pekee kisichokuwa na mchanga wala miti, chenyewe kimezungukwa na mawe tu.
Great Barrier Reef Islands kutoka Austrlia nacho kimetajwa, kisiwa hiki kina zaidi ya samaki 400 wa jamii tofauti.
Kauai ni kisiwa kilichopo Hawaii, ni kisiwa cha zamani kuliko vyote Hawaii.
Hiki pia ni kisiwa kingine kutoka Hawaii kinaitwa Maui, nacho kipo kwenye orodha ya visiwa venye mvuto zaidi duniani.
Moorea (French Polynesia) ni kisiwa kilichopo Ufaransa na kimepakana na kisiwa cha Bora Bora
Kisiwa cha Santorini kilichopo Greece nacho kimetajwa pia.
Tasmania kisiwa kilichopo Austrlia nacho kipo kwenye orodha ya visiwa venye mvuto zaidi duniani.
Maldives ni kisiwa chenye kimo kifupi cha maji duniani na vyumba vingi vya hoteli vimejengwa juu ya maji.
Kisiwa kingine kilichotajwa kwenye Orodha ni hiki hapa,kisiwa hiki kinaitwa Bali na kipo nchini Indonesia.
Kwa habari, matukio na michezo bambam ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment