Gari laingia katika paa ya nyumba
Mapema
leo gari liligonga na kuingia ndani ya nyumba moja nchini Afrika Kusini
kupitia paa la nyumba .t
Tumekuwa tukiona miji na majiji mengi zuweka matuta kila baada ya kilometa moja au zaidi mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara . Hii imekuwa ikilalamikiwa na makundi mbalimbali wakiwemo wamiliki wa vyombo vya moto na wananchi.
Jamii kubwa wamekuwa wakilalamika kuwa matuta hayo yanakera na kushauri ni vyema Serikali kuweka njia mbadala wa kudhibiti mwendo kasi kwa madereva ikiwa na pamoja na kuweka vifaa maalumu kama Camera.
Dereva wa gari hilo amesema
kuwa alipokuwa akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani
lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo.Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.
Hakuna mtu aliyejeruhiwa na dereva wa gari hilo hakupata jeraha lolote na anashikiliwa na polisi..
Kwa habari, amtukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment