Magari 10 ya gharama ya mastaa wa soka Ulaya 2015…(Pichaz)
Moja ya starehe za mastaa wengi wa soka duniani ni pamoja na
kutembela magari ya kifahari..ukiachilia utajiri wa magari ya kifahari
anayomiliki bondia mwenye utajiri mkubwa
Floyd Mayweather..wapo mastaa wa soka ambao nao wameingia kwenye list ya kutembelea magari ya kifahari zaidi.
Hawa ni mastaa 10 wa soka Ulaya ambao mbali ya kuingiza mkwanja mrefu
kupitia kazi yao ya soka pia wanatembelea magari ya kifahari….
Gari aina ya Buggati Veyron anayomiliki staa wa soka duniani Christiano Ronaldo..gharama yake ni dola 1,7000,000
Ronaldinho anamiliki gari aina ya Buggati Veyron yenye thamani ya dola 1,800,000
Eto’o ni mpenzi wa magari na amekua akimiliki magari mengi ya kifahari.. naye pia ni mmoja wa mastaa wanaomiliki gari aina ya Buggati Veyron
Zlatan Ibrahimovic anamiliki gari aina ya Porsche ambayo ina thamani ya €768,000
Neymar Dos Santos ndiye mchezaji ghali zaidi Brazil: anamiliki gari aina ya Audi R8 GT lenye thamani ya paundi 246,000
Mesut Özil anamiliki gari aina ya Ferrari 458 yenye thamani ya paundi 169,000
Frank Lampard anamiliki Ferrari Scaglietti 612 yenye thamani ya paundi 200,000
Wayne Rooney anamiliki Aston Martin Vanquish S, thamani yake ni 150,000
Lionel Messi anamiliki Audi R8 Spyder lenye thamani ya paundi 102,385
Gareth Bale anamiliki Audi R8 GT, thamani yake ni paundi 246,000
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment