Kwa wasumbufu wa kulipia parking Nairobi, zimeshushwa hizi 300 !!
Ni utaratibu wa kawaida kabisa katikati
ya Miji au Majiji makubwa kukutana na parking za magari ambazo kama uko
na gari lako na unahitaji kupaki ni lazima ulipie.
Ninayo story ya Nairobi leo, kama
kulikuwa na mtu anasumbua kulipia parking basi mwarobaini ni huu hapa,
Mkurugenzi wa Mipango ya Fedha Kaunti ya Nairobi, Gregory Mwakanongo amesema zimeshushwa breakdown 300 kumalizana na hiyo ishu.
Kwenye mkakati wanaoanza nao, maeneo
kama Parklands, Westlands, Industrial Area, Ngong’ Road, Buru Buru
shopping center, Upper Hill na Kilimani ndio maeneo ambayo wanaanza
nayo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment