Mfanyabiashara wa viatu Gulio la
Tangamano Tanga, Rashid Mbuya, akipanga viatu kusubiri wateja, Wafanyabiashara
wa Gulio hilo wanalalamika kupungua kwa wateja na bidhaa zao kusuasua na
kupelekea mitaji yao kupungua jambo ambalo linasababisha kushindwa kurejesha
mikopo.
Soko la Tangamano ndio kubwa kwa bidhaa za majumbani na vifaa vya shule ambapo watu kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na nje ya jiji hufika na kujinunulia vitu.
Hata hivyo baadhi ya wataalamu wa mambo ya Uchmi wamesema tofauti hiyo inatokana na ugumu wa maisha ambapo kipato cha mtu mmoja kwa siku ni dola moja.
Aina ya viatu mbalimbali ambavyo mteja hujichagulia kutokana na uzuri na ubora wake.
No comments:
Post a Comment