Sunday, May 1, 2016

MEMPHIS KUTIMKA MAN UNITED

Memphis Depay anaondoka Man United? maamuzi yake haya yanawashangaza wengi

Winga mshambuliaji wa klabu ya Man United ya Uingereza Memphis Depay jina lake limeingia kwenye headlines tena, baada ya kufanya kitendo ambacho huenda kikawa na maana ya kuashiria yeye kuondoka au kukosa furaha ndani ya Man United.
Memphis amewashangaza wengi hususani mashabiki wake wa Man United wanaomfollow katika account yake ya Instagram, baada ya kuona winga huyo kaamua kufuta picha zote katika Instagram yake zinazohusu Man United .

No comments:

Post a Comment