Tuesday, August 30, 2016

BIASHARA MATIKITIMAJI



Mfanyabiashara wa Matikitimaji barabara ya 8 Ngamiani Tanga, Said Salim ,  akiweka sawa bidhaa yake kusubiri wateja. Tikiti moja lilikuwa likiuzwa 2,500 hadi 4,000 kulingana na ukubwa wake.






No comments:

Post a Comment