Sunday, August 21, 2016

MSIMU WA KOROSHO PANGANI



Wakazi wa Mkwaja Pangani Tanga, wakibangua kurosho kwa kutumia mawe na vigongo, korosho Pangani ni moja ya zao ambalo hulimwa kwa wingi.





 Wakaza wa Pangani wakichoma korosho na kuuza katika mahoteli ya kitalii na wageni wanaofika Pangani, Korosho ni moja ya zao ambalo hulimwa kwa wingi Pangani.

No comments:

Post a Comment