Thursday, August 25, 2016

NASAKA WATEJA MTAANI



 Mchuuzi wa kuni akitafuta wateja mitaa ya Nguvumali Tanga, mzigo mmoja wa kuni wa baskeli ulikuwa akiuza 20,000.





 Mchuuzi wa mkaa akitafuta wateja mitaa ya Nguvumali Tanga, kiroba kimoja cha mkaa alikuwa akikiuza 15,000.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment