Saturday, August 20, 2016

MUHONGO ATEMBELEA BOHARI YA MAFUTA GBP TANG


Mkurugenzi mtendaji Bohari ya mafuta (GBP), Badel Soud, akimpa maelezo Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo wakati alipofanya ziara katika bohari hiyo Raskazone Tanga juzi, Muhongo alifanya ziara Mkoani Tanga kukagua miradi ya utekelezaji usambazaji umeme vijijini (Rea



 Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo aakipata maelekezo ya Pampu za mafuta bohari ya GBP wakati wa ziara yake Mkoani Tanga juzi.



No comments:

Post a Comment