Tuesday, August 16, 2016

WAZIRI MUHONGO KATIKA ZIARA YAKE MKOA WA TANGA





  Mkazi wa kijiji cha  Kwamgwe  Handeni Vijijini, Amina Hassan, akitoa malalamiko ya kukosa kulipwa fidia hadi muda huo kwenye shamba lake ulipopita mradi wa umeme vijijini (Rea) mbele ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo wakati wa kutembelea miradi ya Rea awamu ya pili Mkoani Tanga.

Waziri  wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo, akimshikilia kisemeo mkazi wa Kwamgwe Handeni Vijijini Mkoani Tanga , Rajab Juma akielezea muitikio mdogo wa elimu  juu ya mradi wa umeme vijijini kwa wananchi na kutojua ofisi za malipo na kuwa chanzo cha wateja waliojitokeza kuwa wachache.

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment