Friday, August 19, 2016

MATUKIO ZIARA YA MUGONGO PANGANI



Wananchi wa kijiji cha Serewani kata ya Kipumbwi Pangani Tanga, waliusimamisha msafara wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospiter Muhongo kwa mabango wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya Uwakala wa Usambazaji Umeme Vijijini Mkoani Tanga. Kulia mwanzo ni Mbunge wa Pangani Jumaa Awesso na katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Pangani.










Wakazi wa Pangani eneo la Bweni barabara ya  Ferry wakipita kwa shida baada ya gogo la muwembe kuziba barabara na kuwa kero. Barabara hiyo ambayo baadhi ya wakazi wa Pangani wamedai kuwa ni kivutio baada ya kuwa na majengo ya kale ama ya Kihistoria.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment