Saturday, August 20, 2016

SERIKALI YATIMIZA AHADI YA KIVUKO CHA PANGANI



Wakazi wa Mkwaja Wilayani Pangani Mkoani Tanga wakivuka kivuko cha MV Pangani ambacho kimeanza kazi hivi karibuni.




 Kivuko kipya cha MV Pangani kikisafirisha abiia kutoka upande wa pili Pangani, kivuko hicho kimeanza kazi hivi karibuni na kuwa msaada kwa watumiaji wa kivuko hicho.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment