Tuesday, August 23, 2016

NGOMA YA MDUMANGE, LUSHOTO



Wasanii wa ngoma ya Mdumange Mlola Wilayani Lushoto Tanga wakiburudisha katika  sherehe zilizofanyika juzi. Ngoma ya Mdumange imekuwa ikitumiwa katika sherehe na harusi mbalimbali Wilayani humo ambayo wasanii wake ni wazee.
Ngoma hii ya Mdumange iliyojipatia sifa ndani ya Lushoto na nje yake wamekuwa na mtindo wao tofauti na ngoma nyengine hasa katika uchezaji wake.





Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment