Tuesday, August 30, 2016

TUNAJIFUNZA KUCHEZA SOKA, KAMA HIVI



Wanafunzi wa shule ya msingi ya Darajani Tanga wakifanya mazoezi ya kucheza mpira kwa kutumia chupa ya maji wakati wa masomo ya jioni shule hapo kama walivyokutwa juzi.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment