Tuesday, August 16, 2016

KIWANDA CHA SARUJI TANGA CHAZINDUA KINU CHA PILI CHA UZALISHAJI KLINKA



 Waziri wa Biashara na Viwanda, Charrles Mwijage, akikata utepe katika uzinduzi wa pili cha kinu cha uzalishaji Klinka kiwanda cha Saruji cha Tanga Cement Leo, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi, Laurence Masha, na watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighella.








 Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini Stivn Ngonyani akiksaliana na  mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha Simba Cement .

No comments:

Post a Comment