Tuesday, August 30, 2016

JOE HART KUTIMKIA TORINO

Hart kusajiliwa na Torino ya Italia kwa mkopo

HART
Golikipa namba moja wa timu ya taifa ya England Joe Hart ambae amepoteza namba katika kikosi cha kwanza cha Man City, chini ya kocha mpya Pep Guardiola.
Hart hajaanza katika michezo mitatu iliyopita ya ligi kuu ya England, nafasi yake katika langoni.na  limekua likilindwa na kipa mkongwe Willy Caballero.
Taarifa zinasema kipa huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo hii ili kujiunga na timu ya Torino ya nchi italia,kwa mkopo.
tayari Man City wamemsajili golikipa Claudio Bravo toka Barca kwa mkataba wa miaka minne.

No comments:

Post a Comment